MAMA ALIKIBA KWA MARA YA KWANZA AKITAMBULISHA WIMBO MPYA WA ALIKIBA

0 Views
Published
NI Usiku wa msanii kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae muda huu amewaalika mastaa na wadau muziki kusikiliza album yake mpya aliyoipa jina la Only one King.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea video hii ushuhudie Mama Alikiba kwa mara ya kwanza akitambulisha wimbo wa Alikiba unapatikana katika album hiyo mpya.
Category
Audio
Be the first to comment